Sam Mostyn

Samantha Joy Mostyn (alizaliwa 1964, anajulikana kama Sam Mostyn) Ni mtetezi wa mabadiliko ya hali ya hewa na usawa wa kijinsia, ni mwanamke wa kwanza kuwa kamishna wa AFL. Kufikia mwaka 2021, Mostyn ni rais wa Chief Executive Women. Yeye ni mwanachama wa bodi kadhaa, ikiwa ni pamoja na The Climate Council, GO Foundation, Mirvac, Transurban, Virgin Australia na The Sydney Swans. Tuzo ya Mostyn, kwa wanawake bora katika AFL, imetajwa kwa jina lake.[1][2][3][4][5]

  1. "Sam Mostyn: "We have been wasting the resources of women"". Gourmet Traveller (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-11-26.
  2. "Stories in philanthropy ›› Philanthropy Australia". www.philanthropy.org.au. Iliwekwa mnamo 2021-11-26.
  3. "Sam Mostyn". ANROWS - Australia's National Research Organisation for Women's Safety (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-11-26. Iliwekwa mnamo 2021-11-26.
  4. "Sam Mostyn (Board Member)". Centre for Policy Development (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2021-11-26.
  5. "Australians Investing in Women | AIIW". www.aiiw.org.au (kwa Australian English). 2019-10-15. Iliwekwa mnamo 2021-11-26.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy